Tel Aviv : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:Old yaffo 3.JPG|thumb|250px|Uso wa Tel Aviv-Yafa upande wa pwani]]
[[File:Channel2 - Tel Aviv.webm|thumb|right|300px|thumbtime=00:03]]
'''Tel Aviv-Yafa''' (kwa [[Kiebrania]] תֵּל־אָבִיב-יָפו; kwa [[Kiarabu]] تَلْ أَبِيبْ-يَافَا) ni [[mji]] mkubwa wa pili nchini [[Israel]], wenye wakazi 380460,000613 ([[2019]])<ref>"Population in the Localities 2019" (XLS). Israel Central Bureau of Statistics. Retrieved 16 August 2020.</ref>. [[Rundiko la mji]] kuna watu zaidi ya [[milioni]] 3. Mji uko kando ya [[bahari]] ya [[Mediteranea]].
 
==Historia==
Mji ulitokana na maungano ya miji ya [[Yafa]] na Tel Aviv mwaka [[1949]] baada ya [[vita ya Kiarabu-Kisraeli ya 1948]]. Wakati ule Tel Aviv ilikuwa mji mkubwa na Yafa ilibaki na watu wachache tu baada ya kukimbia kwa wakazi [[Waarabu]] wengi vitani.
 
Tel Aviv ilianzishwa kando ya mji wa kale wa Yafa mwaka [[1909]] na Wayahudi waliohamia [[Palestina]] kutoka [[Ulaya]]. Mwanzoni ilikuwa kitengo tu cha Yafa kilichojitawala lakini kiliendelea kukua haraka kushinda mji wa kale kikawa [[manisipaa]] mwaka [[1934]].
 
Wakati wa utawala wa [[Uingereza]] Tel Aviv ilikuwa [[kitovu]] cha maisha ya Kiyahudi katika [[Palestina]]. Hadi leo Tel Aviv-Yafa ni kitovu cha kiutamaduni na cha kiuchumi wacha nchi ya Israel.
 
== Marejeo ==
{{Reflist}}
 
== Viungo vya nje ==
* [http://www.tel-aviv.gov.il/english/home.asp Official website] {{Wayback|url=http://www.tel-aviv.gov.il/english/home.asp |date=20080312015338 }}
{{mbegu-jio-AsiaIsraeli}}
 
{{mbegu-jio-Asia}}
 
[[Jamii:Miji ya Israel]]
[[Jamii:Miji ya pwani ya Mediteranea]]