Hassan bin Omari : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Removing 'Maji_maji_rebellion'_monument.jpg, it has been deleted from Commons by Yann because: Copyright violation, see c:Commons:Licensing.
Mstari 1:
 
'''Hassan bin Omari''' (au '''Makunganya'''<ref name="Sache1898">'Das Makunganya-Liedin Mittheilungen des Seminars für Orientalische Sprachen an der Königlichen Friedrich Wilhelms-Universität zu Berlin 1898; http://archive.org/details/bub_gb_aibWAAAAMAAJ</ref>; alifariki [[26 Novemba]] [[1895]]) alikuwa [[Wayao (Tanzania)|Myao]] [[Mwislamu]] wa [[Makanjila]], aliyeishi [[mlima|mlimani]], na aliyefanya [[biashara]] ya [[Pembe (anatomia)|pembe]] za [[ndovu]] na ya [[watumwa]], na pia kushambulia misafara iliyopita katika eneo lake la [[Mavuji]], karibu na [[Kilwa Kivinje]]. Baada ya kupigana na [[Wajerumani]] alikamatwa, na mwishowe alinyongwa na Wajerumani, pamoja na wenzake.
[[File:Hassan bin Omari, Omari Muenda and Jumbe.jpg|thumb|Hassan bin Omari (aka Makunganya), kulia, Omari Muenda, katikati na Jumbe, kushoto]]
Line 48 ⟶ 47:
 
==Hitimisho==
 
[[File:'Maji maji rebellion' monument.jpg|thumb|Kilwa Kiwinje , 'Maji maji rebellion' monument]]
Hawa wote walitungikwa tanzi la roho chini ya [[mwembe]] huku Kilwa Kivinje, na mti huu uliitwa 'mwembe kinyonga'. Mti ulikufa baadaye, lakini kuna ukumbusho pale wa "Mashujaa walionyongwa na Mjerumani Vita vya Maji Maji", bali ni kosa kutaja jina la 'Hasani O Makunganya' la kwanza pale, kwa sababu yeye hakuwa hai wakati wa Maji Maji. Mwalimu [[Julius Nyerere]], alifanya ziara ya ukumbusho huo wakati wa [[uhuru]] wa Tanzania, kwa heshima ya mababa wa Kilwa Kivinje waliouawa wakati ule.<ref>And Home Was Kariakoo: A Memoir of East Africa; M.G. Vassanji. 2016</ref>