Tofauti kati ya marekesbisho "Joseph Kabila"

32 bytes added ,  miezi 6 iliyopita
no edit summary
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
[[Picha:Joseph kabila.jpg|thumb|250px|Joseph Kabila.]]
'''Joseph Kabila Kabange''' (*alizaliwa [[4 Juni]] [[1971]]) alikuwa [[Orodha ya Marais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo|rais]] wa [[nne]] wa [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]].
 
Aliingia [[urais]] baada ya [[kifo]] cha [[baba]] yake Rais [[Laurent Kabila|Laurent-Desiree Kabila]] aliyeuawa na [[wanajeshi]] [[tarehe]] [[16 Januari]] [[2001]]. [[Wanasiasa]] wengine walimteua [[mwana]] kuwa rais badala ya baba.
 
Katika [[uchaguzi]] wa kitaifa wa tarehe [[30 Julai]] [[2006]] alipata [[kura]] nyingi kuliko wagombea wote kuwa rais lakini hakufikia [[nusu]] ya kura zote. Katika uchaguzi wa pili kati yake na [[Jean-Pierre Bemba]] alishinda akathibitishwa kuwa rais tarehe [[17 Novemba]] [[2006]]. Joseph Kabila ni rais wa kwanza wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo aliyechaguliwa na wananchi wote katika uchaguzi huru.
 
Mnamo Oktoba 2021, Joseph Kabila alitetea tasnifu yake ya kuhitimu katika Chuo Kikuu cha Johannesburg. Shahada ya uzamili katika sayansi ya siasa na uhusiano wa kimataifa alitunukiwa mwishoni mwa masomo yake ambayo yalidumu kwa miaka mitano.
 
== Maisha yake ==
Joseph Kabila alizaliwa mjini [[Hewa Bora]] katika [[mkoa]] wa [[Kivu Kusini]], [[mashariki]] mwa Kongo. BabakeBaba yake alikuwa mwanasiasa na [[kiongozi]] wa kikundi cha [[wanamgambo]] waasi waliopinga [[serikali]] ya [[Mobutu Sese Seko]].
 
Pamoja na [[familia]] ya baba Joseph alihamia [[Dar es Salaam]] ([[Tanzania]]. Alisoma [[shule ya msingi]] na ya [[sekondari]] huko Dar es Salaam na shule ya sekondari [[Irambo]] ([[Mbeya]]). Anasemekana wakati ule alitumia [[jina]] la Hippolyte Kanambe Kazemberembe Kabange Mtwale kwa sababu za [[usalama]].
 
Katika [[Juni]] 2006 alimwoa [[Olive Lembe di Sita]] aliyekuwa [[mchumba]] wake wa miaka mingi na [[mama]] wa [[binti]] aliyezaliwa mwaka 2001.
 
Mnamo Oktoba [[2021]], Joseph Kabila alitetea [[tasnifu]] yake ya kuhitimu katika [[Chuo Kikuu cha Johannesburg]]. Shahada ya [[uzamili]] katika [[sayansi ya siasa]] na uhusiano wa kimataifa alitunukiwa mwishoni mwa masomo yake ambayo yalidumu kwa miaka mitano.
{{mbegu-mwanasiasa}}
{{DEFAULTSORT:Kabila, Joseph}}