Chonga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa mpya
 
dNo edit summary
Mstari 26:
* [[Phileurini]] <small>Burmeister, 1847</small>
}}
'''Chonga''' ni [[mbawakawa]] wa [[nusufamilia]] [[Dynastinae]] ya [[familia (biolojia)|familia]] [[Scarabaeidae]] katika [[oda]] [[Coleoptera]] ambao madume yao wana [[pembe]] kubwa [[kichwa]]ni na mara nyingi pia kwenye mbele ya [[pronoto]] ([[kidari]]). Kwa sababu ya hii huitwa “bungo-kifaru” ([[w:Rhinoceros beetle|rhinoceros beetles]]) kwa [[Kiingereza]].
 
Zaidi ya [[jenasi]] 225 na [[spishi]] 1500 za chonga hujulikana. Spishi kadhaa ni miongoni mwa mbawakawa wakubwa kabisa [[dunia]]ni.