Peggy Phango : Tofauti kati ya masahihisho

Mwimbaji na Mwigizaji (1928-1998)
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Peggy Phango''' Amezaliwa mnamo (28 Desemba 1928-Agosti 1998) Alikua mwigizaji na mwimbaji wa Afrika kusini,ambaye kutoka mwaka 1960 alikua na makao yake nchini uingereza. ==Maisha ya zamani== Peggy Phango alizaliwa Orlando, Transvaal, Afrika kusini. Alipata mafunzo kama muuguzi,lakini pia aliimba katika vilabu vya jazz,kama mwanamke mchanga. <ref name="Vallance">Tom Vallance, [https://www.independent....'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 08:41, 30 Oktoba 2021

Peggy Phango Amezaliwa mnamo (28 Desemba 1928-Agosti 1998) Alikua mwigizaji na mwimbaji wa Afrika kusini,ambaye kutoka mwaka 1960 alikua na makao yake nchini uingereza.

Maisha ya zamani

Peggy Phango alizaliwa Orlando, Transvaal, Afrika kusini. Alipata mafunzo kama muuguzi,lakini pia aliimba katika vilabu vya jazz,kama mwanamke mchanga. [1][2]


  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Peggy Phango kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  1. Tom Vallance, "Obituary: Peggy Phango" The Independent (2 September 1998).
  2. Michael Knipe, "From Tradesman's Daughter to Stage Queen" Mail & Guardian (21 August 1998).