Wali : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Wali (chakula) umesogezwa hapa Wali: chakula ni matumizi ya kawaida
No edit summary
Mstari 1:
''Kwa Wali kama cheo cha msimamizi wa eneo tazama "[[liwali]]"''
[[Image:Nasi lemak.jpg|thumb|250px|Wali na kuku kwenye sahani]]
'''Wali''' ni nafaka iliyopikwa kama chakula na hasa mbegu wa [[mpunga]] unaoitwa [[mchele]] baada ya kazi ya kukoboa yaani kutoa maganda yake.