Bondita Acharya : Tofauti kati ya masahihisho

Mwanaharakati wa haki za binadamu wa India
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Bondita Acharya''' ni mtetezi wa haki za Binadamu anaetoka katika eneo la Jorhat Kaskazini mwa nchi ya India.<ref name=":0">{{Cite web|url=https://www.frontlinedefenders.org/en/case/bondita-acharya-receives-death-threats/|title=Bondita Acharya Receives Death Threats|date=2017-04-12|website=Front Line Defenders}}</ref>><ref>http://www.easternmirrornagaland.com/a-call-to-be-human-rights-defenders/ |access-date=10 March 2019 }</ref> == Mias...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 17:48, 4 Novemba 2021

Bondita Acharya ni mtetezi wa haki za Binadamu anaetoka katika eneo la Jorhat Kaskazini mwa nchi ya India.[1]>[2]

Miasha Binafsi

Bondita Acharya alizaliwa katika eneo la Jorhat lililopo katika wilaya ya Assam mnamo tarehe 12 Desemba 1972 .[3] Baba yake alikuwa akiitwa Jogananda Goswami aliekuwa Mkemia katika chuo cha Jagannath Barooah College na Mama yake aliitwa Marinalini Goswami, aliekuwa mkuu wa shule yaktika shule ya wasichana ya ME Girls School.

Marejeo

  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bondita Acharya kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.