Hali maada : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 12:
Hali za maada hutofautiana jinsi vipande vidogo ndani ya dutu yaani [[atomi]] au [[molekuli]] zake zahusuiana.
Katika '''hali mango''' zakaa pamoja kila atomi mahali pake. Tunasema: Dutu ni imara. Dutu katika hali hii ina umbo, mjao
Katika '''hali kiowevu''' atomi zina nafasi ya kuachana na kubadilishana mahali.
Katika '''hali ya gesi''' atomi hazishikwi pamoja zaelea kwa mwendo huria. Atomi na molekuli za gesi huelekea kusambaa na kukalia nafasi yote ambamo imewekwa.
▲Katika '''hali ya gesi''' atomi hazishikwi pamoja zaelea kwa mwendo huria. Atomi na molekuli za gesi huelekea kusambaa na kukalia nafasi yote ambamo imewekwa. Gesi haina umbo wala mjao kamili.
[[Category:Fizikia]]
|