Kiowevu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: thumb|Anguko la tone laonyesha maumbo mengi ya kiowevu '''Kiowevu''' ni moja kati ya hali maada. Katika hali kiowevu atomi zina nafasi ya k...
 
No edit summary
Mstari 3:
'''Kiowevu''' ni moja kati ya [[hali maada]].
 
Katika hali kiowevu [[atomi]] zina nafasi ya kuachana na kubadilishana mahali. Kwa sababu hii kiowevu hakina umbo maalumu.

Masi ya kilogramu moja ya [[maji]] hukubali umbo la kila chombo kinamomwagwa: ama katika sufuria pana au katika bomba ndefu nyembamba. Kama maji yaleyale yameganda na kuingia katika hali [[mango]] kama [[barafu]] hauwezi kukubali umbo tofauti.
 
Kiowevu hukubali badiliko la umbo lakini hakibadiliki mjao na uzani.