Kiolwa cha angani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 23:
'''Kiolwa cha anga-nje''' (pia: '''gimba la angani''', kwa [[Kiingereza]]: ''[[:en:astronomical object|astronomical object]] au celestial body'') ni [[jina]] la jumla kwa ajili ya [[Kitu|vitu]] vinayopatikana katika [[anga]] ya [[ulimwengu]].
 
Kwa Kiingereza istilahi ''"object"'' (kiolwa) na ''"body"'' (gimba) mara nyingi hutumiwa kama visawe. Lakini ilhali kila gimba la anga-nje ni pia kiolwa cha anga-nje, kinyume chake si kweli. Gimba la anga-nje ni kitu kimoja cha pekee, kama vile sayari, mwezi, asteroidi. Kiolwa cha anga-nje ni wazo pana zaidi, likitaja pia mambo kama [[Galaksi|galaksi]] au [[Nebula|nebula]] yenye sehemu nyingi ndani yake.
Kati ya vitu hivyo huhesabiwa:
 
Kati ya vituviolwa hivyovya anga-nje huhesabiwa:
* [[Jua]]
* [[Sayari]]
Line 36 ⟶ 38:
* [[Wingu (anga la nje)|Mawingu katika anga]]
 
Hivyo vyote ni violwa asilia. Vitu vilivyoko kwenye anga-nje vilivyotengenezwa na [[binadamu]] ni [[vyombo vya anga-nje]]. Hapa kuna swali kama mabaki kutokana na vyombo vya anga-nje vilivyovunjika au [[takataka ya angani]] zinazotokanayanayotokana na [[safari]] za anga-nje yanastahili kuitwa kwa [[neno]] hili.
 
[[Elimu]] ya violwa vya anga-nje ni [[astronomia]].