Irène Joliot-Curie : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[Picha:Irène Joliot-Curie Harcourt.jpg|alt=Irène Joliot-Curie|thumb|Irène Joliot-Curie]]
'''Irène Joliet-Curie''' ([[12 Septemba]] [[1897]] - [[17 Machi]] [[1956]]) alikuwa [[mwanasayansi]] wa [[KifaransaUfaransa]].

Alishinda [[tuzo ya Nobel]] kwa [[Kemia]] [[mwaka]] wa [[1935]] pamoja na [[Mume|mumewe]], [[Frédéric Joliot]]. Curie alikuwa [[binti]] [[Pierre Curie]] na [[Marie Curie]]
 
== Elimu ==
Curie alianza [[masomo]] yake katika [[kitivo]] cha [[Sayansi]] huko [[Paris]]. Wakati wa [[Vita Kuu ya Kwanza]], aliwahi kuwa mbobeaji kwenye mambo ya ([[eksirei1914]]. Curie akawa -[[Daktari1918]]), waaliwahi [[Sayansi]]kuwa mwakambobeaji wakwenye [[1925]]. Alifanya [[tasnifu]] yake juumambo ya [[ mnururisho αeksirei]]. wa [[Poloni|poloniamu]].
 
Wakati wa Vita Kuu ya kwanza ya Dunia ([[1914]]-[[1918]]), alimsaidia [[mama]] yake kutumia [[teknolojia]] ya eksirei katika [[hospitali]] za [[kijeshi]]. Aliwasaidia [[wafanyakazi]] wa [[mionzi]]. Curie kisha alihitimu kutoka [[Sorbonne]] huko [[Paris]]. Alipata [[shahada]] ya kufanya kazi kwenye mambo ya [[mionzi]] katika poloniamu mwaka wa [[1925]].
 
Curie kisha alihitimu kutoka [[Sorbonne]] huko [[Paris]] akawa [[Daktari]] wa [[Sayansi]] mwaka wa [[1925]]. Alifanya [[tasnifu]] yake juu ya [[mnururisho α]] wa [[Poloni|poloniamu]] akapata [[shahada]] ya kufanya kazi kwenye mambo ya [[mionzi]] katika poloniamu.
{{mbegu-mwanasayansi}}
{{BD|1897|1956}}