Vita ya Umoja wa Kisovyeti dhidi ya Finland : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
dNo edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Finn_ski_troops.jpg|thumb| Vikosi vya skii vya Kifini.]]
'''Vita ya Umoja wa Kisovyeti dhidi ya Finland''' ilipigwa kuanzia [[Novemba]] [[1939]] hasi [[Machi]] [[1940]]. Ilhali ilipiganiwa katika miezi ya [[baridi]] inaitwa pia "Vita ya msimu wa baridi" (kwa [[Kifini]]: ''talvisota'', kwa [[Kiswidi]] ''vinterkriget'', kwa [[Kirusi]] Зимняя война ''zimnyayaZimnyaya voina'').
 
Chanzo chake kilikuwa madai ya [[serikali]] ya [[Umoja wa Kisovyeti]] kukabidhiwa maeneo ya [[Ufini]] yaliyokuwa karibu na [[mji]] wa [[Leningrad]] (leo Sankt Peterburg). Baada ya Ufini kukataa, [[Jeshi Jekundu]] lilishambulia nchi jirani [[tarehe]] [[30 Novemba]] 1940.