Ndovu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 54:
== Meno ==
Meno ya tembo ni tofauti sana na yale ya mamalia wengine. Wakati wa maisha yao yote, huwa na jumla ya meno 28. Haya hujumuisha meno change ba pili (hizi ndizo pembe), meno ya maziwa kabla ya pembe, magego madogo 12:3 kila upande wa taya, magego 12:3 kila upande wa taya.
[[File:Elephant - Saadani National Park.jpg|thumb|Tembo hifadhi ya Taifa Saadani]]
 
== Upande wa taya ==