Jenerali Ulimwengu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Jenerali Twaha Ulimwengu''' alizaliwa 4 Aprili 1948 katika wilaya ya Ngara mkoa wa Kagera <ref>https://www.pambazuka.org/governance/where-jenerali-ulimwengu-supposed-go</ref> nchini Tanzania, mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi katika gazeti la Raia mwema la jijini Dar es salaam <ref>https://www.theeastafrican.co.ke/tea/author-profiles/jenerali-ulimwengu-1367874</ref> Ulimwengu alikuwa mwanachama hai wa chama cha TANU na b...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 11:30, 13 Novemba 2021

Jenerali Twaha Ulimwengu alizaliwa 4 Aprili 1948 katika wilaya ya Ngara mkoa wa Kagera [1] nchini Tanzania, mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi katika gazeti la Raia mwema la jijini Dar es salaam [2] Ulimwengu alikuwa mwanachama hai wa chama cha TANU na baadae Chama cha Mapinduzi

Elimu

Jenerali alisoma katika shule ya Kamachumu na baadae alijiunga na chuo Kikuu cha University of East Africa kati ya mwaka 1969 na 1972


Marejeo

  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jenerali Ulimwengu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.