Martin Kolikoli : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Martin Kolikoli''', pia anajulikana kama Martin Ndunguru, (alizaliwa Mei 25, 1989 katika jiji la Dar es Salaam) alikuwa mchezaji wa mchezo wa mpira wa kikapu wa nchini Tanzania akitokea katika timu ya ''Pazi Basketball Team'', kipaji chake cha mchezo wa kikapu kilikuwa zaidi alipokuwa katika shule ya Loyola ''High School''. ==Taaluma ya Mchezo wa Kikapu == Shirikisho la mchezo wa kikapu nchini Tanzania Tanzania Basketball Fed...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 23:03, 13 Novemba 2021

Martin Kolikoli, pia anajulikana kama Martin Ndunguru, (alizaliwa Mei 25, 1989 katika jiji la Dar es Salaam) alikuwa mchezaji wa mchezo wa mpira wa kikapu wa nchini Tanzania akitokea katika timu ya Pazi Basketball Team, kipaji chake cha mchezo wa kikapu kilikuwa zaidi alipokuwa katika shule ya Loyola High School.

Taaluma ya Mchezo wa Kikapu

Shirikisho la mchezo wa kikapu nchini Tanzania Tanzania Basketball Federation ilimchagua Kolikoli mwaka 2008 kuiwakilisha Tanzania Tanzania katiak programa ya mafunzo ya mchezo huo iliyofanyika nchini Afrika Kusini katika shule ya kimataifa ya erican International School of Johannesburg , mafunzo yaliyoandaliwa na National Basketball Association pamoja na International Basketball Federation.[1]Baada ya kutoka katika mafunzo hayo, Kolikoli aliitwa katika kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania kwa wachezaji walio na umri wa chini ya miaka 21

Viungo vya Nje

  • Africa Basketball [1]
  • FIBA News about Martin KoliKoli [2]
  • Pictures [3]

Marejeo

  1. Kolikoli to represent Dar in J’burg basketball camp http://dailynews.habarileo.co.tz/magazine/index.php?id=7048 |date=2009-06-30 }}", TSN (Tanzania Standard Newspapers) Daily News, published September 3, 2008.
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Martin Kolikoli kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.