Walowezi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|300x300px|Picha inayoonyesha walowezi wa kwanza wa [[Karne za kati wakifika Aisilandi.]] '''Walowezi''' (kutok...'
 
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8.2
 
Mstari 2:
'''Walowezi''' (kutoka [[kitenzi]] "kulowea"; pia: '''setla''', kutoka Kiingereza "settler") ni watu ambao [[Uhamiaji wa binadamu|wamehamia]] katika eneo fulani na kuanzisha [[makazi]] ya kudumu pale, hata mara nyingi [[Ukoloni|kulitwaa]] eneo hilo. Makazi mara nyingi hujengwa kwenye [[ardhi]] ambayo inadaiwa au inayomilikiwa na watu wengine.
 
Wao wenyewe wakati mwingine huondoka katika kujitafutia [[riziki]] au [[uhuru]] wa dini<ref name=":1">{{Cite web|url=https://historytogo.utah.gov/facts/brief_history/mormonsettlement.html|title=Mormon Settlement|work=historytogo.utah.gov|accessdate=2018-08-04|archivedate=2018-03-17|archiveurl=https://web.archive.org/web/20180317140359/http://historytogo.utah.gov/facts/brief_history/mormonsettlement.html}}</ref>.
 
Mara nyingine walowezi huungwa mkono na [[serikali]] au nchi kubwa au tajiri<ref name=":0">{{Cite web|url=https://www.jta.org/1938/07/18/archive/financial-interests-back-settlement-of-jews-in-kenya|title=Financial Interests Back Settlement of Jews in Kenya {{!}} Jewish Telegraphic Agency|language=en-US|work=www.jta.org|accessdate=2018-08-04}}</ref>.