Mchwa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8.2
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8.2
Mstari 48:
Hata hivyo, watu wengi huona mchwa kama wasumbufu, haswa anapoishi karibu na [[Jengo|majengo]] ya watu. Mchwa hula [[mbao]] na kwa hiyo huharibu [[mlango|milango]], [[samani]] na [[boriti|maboriti]] ya [[nyumba]].
 
Wale wanaoishi ndani ya mbao na kula vifaa vya mbao nyumbani huleta pia tatizo la [[uchafu]] kutokana na [[kinyesi]] chao.<ref>{{Cite web |url=https://pestsguide.com/termites/termite-droppings-in-your-house/ |title=Kuhusu kinyesi cha mchwa |accessdate=2019-04-07 |archivedate=2019-04-07 |archiveurl=https://web.archive.org/web/20190407052649/https://pestsguide.com/termites/termite-droppings-in-your-house }} {{Wayback|url=https://pestsguide.com/termites/termite-droppings-in-your-house/ |date=20190407052649 }}</ref> Kwa hiyo, watu wengi hutafuta [[dawa]] za kuua wadudu hawa au njia nyingine asili za kuwadhibiti kama vile utumizi wa [[udongo]] ''Diatomaceous'' au [[mafuta]] ya [[kitunguu saumu]] zinazoathiri wadudu<ref>{{Cite web|url=https://pestsguide.com/termites/get-rid-of-termites-forever|title=How to Get Rid of Termites: A Comprehensive Guide (2019)|author=Ambru|date=2018-11-24|language=en-US|work=PestsGuide|accessdate=2019-06-17}}</ref>.
 
Wanaofanya [[taaluma]] hiyo kwanza huangalia mchwa ni wa aina gani ili waweze kujua amejificha wapi maana wao hujifinya pahala kwingi.