Zahanati : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8.2
 
Mstari 1:
[[PichA:Dispensaire-d'Anjozorobe.jpg|thumb|right|Zahanati huko [[Anjozorobe]], [[Madagascar]].]]
'''Zahanati''' (kutoka [[neno]] la [[Kiarabu]]; pia '''dispensari''' kutoka neno la [[Kiingereza]] ''dispensary'' lenye [[asili]] ya [[Kilatini]] ''dispensaria'' yaani ''mahali pa ugawaji'' wa dawa<ref name="MWU">{{Citation |author=Merriam-Webster |authorlink=Merriam-Webster |title=Merriam-Webster's Unabridged Dictionary |publisher=Merriam-Webster |url=http://unabridged.merriam-webster.com/unabridged/ |postscript=. |access-date=2019-12-06 |archive-date=2020-05-25 |archive-url=https://web.archive.org/web/20200525084504/https://unabridged.merriam-webster.com/subscriber/login?redirect_to=%2Funabridged%2F |dead-url=yes }}</ref>) ni mahali ambapo [[huduma]] za [[tiba]] hutolewa kwa [[magonjwa]] yasiyo makubwa, lakini pia [[chanjo]], [[uzazi wa mpango]] n.k. Vile vile huduma nyingine zitolewazo kwenye Zahanati ni pamoja na [[Huduma ya kwanza]].
 
Kwa upande wa [[mazingira]] zahanati inaweza kupatikana [[Shule|shuleni]], [[Kiwanda|viwandani]] na hata kwenye [[taasisi]] mbalimbali zenye uhitaji wa huduma hiyo pindi tu ihitajikapo.