Tofauti kati ya marekesbisho "Siku ya Mtoto wa Afrika"

110 bytes removed ,  miezi 6 iliyopita
Removing African_Child.jpg, it has been deleted from Commons by Ellywa because: per c:Commons:Deletion requests/File:African Child.jpg.
(Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8)
(Removing African_Child.jpg, it has been deleted from Commons by Ellywa because: per c:Commons:Deletion requests/File:African Child.jpg.)
 
[[Picha:African_Child.jpg|thumbnail|right|200px|Maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika 2021,Arusha Tanzania]]
'''Siku ya Mtoto wa Afrika''' (kwa [[Kiingereza]]: ''Day of the African Child'') ni siku inayosherehekewa kila [[mwaka]] [[tarehe]] [[16 Juni]] tangu mwaka [[1991]] ilipoteuliwa na [[Umoja wa Afrika]] katika kuenzi michango ya [[watoto]] walioshiriki katika [[maandamano]] katika [[mji]] wa [[Soweto]], [[Afrika Kusini]] mwaka [[1976]] pamoja na kujengea [[jamii]] uelewa juu ya umuhimu wa [[elimu]] bora kwa watoto.