Joseph Kabila : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
 
Mstari 9:
Joseph Kabila alizaliwa mjini [[Hewa Bora]] katika [[mkoa]] wa [[Kivu Kusini]], [[mashariki]] mwa Kongo. Baba yake alikuwa mwanasiasa na [[kiongozi]] wa kikundi cha [[wanamgambo]] waasi waliopinga [[serikali]] ya [[Mobutu Sese Seko]].
 
Pamoja na [[familia]] ya baba Joseph alihamia [[Dar es Salaam]] ([[Tanzania]]. Alisoma [[shule ya msingi]] na ya [[sekondari]] huko Dar es Salaam na shule ya sekondari [[IramboSangu secondary]] ([[Mbeya]]). Anasemekana wakati ule alitumia [[jina]] la Hippolyte Kanambe Kazemberembe Kabange Mtwale kwa sababu za [[usalama]].
 
Mwaka [[1996]] alijiunga na wanamgambo wa baba yake katika [[vita vya Kongo ya Mashariki]].