Tawahudi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Rescuing 4 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8.2
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8.2
Mstari 187:
 
Dawa nyingi zinazotumika kutibu dalili za ASD huathiri kuingiliana kwa mtoto na nyumba au shule wakati tabia matibabu yameshindwa.<ref name="Rapin"></ref><ref>{{vcite journal |journal=Harv Rev Psychiatry |year=2008 |volume=16 |issue=2 |pages=97–112 |title=Pharmacological treatment options for autism spectrum disorders in children and adolescents |author=Leskovec TJ, Rowles BM, Findling RL |doi=10.1080/10673220802075852 |pmid=18415882 }}</ref> Zaidi ya nusu ya watoto wa Marekani walioaguliwa kuwa na ASD hupewa dawa za kuathiri akili au kinza-msukosuko, huku aina za dawa zinazotumika mara kwa mara zikiwa tibamfadhaiko, vichangamshi, na vizuia magonjwa ya akili.<ref>{{vcite journal |journal=J Child Adolesc Psychopharmacol |year=2007 |volume=17 |issue=3 |pages=348–55 |title=Medication use among children with autism spectrum disorders |author=Oswald DP, Sonenklar NA |doi=10.1089/cap.2006.17303 |pmid=17630868 }}</ref> Mbali na dawa za kuzuia magonjwa ya akili,<ref>{{vcite journal |journal=J Clin Invest |year=2008 |volume=118 |issue=1 |pages=6–14 |title=Antipsychotics in the treatment of autism |author=Posey DJ, Stigler KA, Erickson CA, McDougle CJ |doi=10.1172/JCI32483 |pmid=18172517 |pmc=2171144 |url=http://www.jci.org/articles/view/32483/version/1 }}</ref> kuna utafiti mchache wa kuaminika kuhusu umadhubuti au usalama wa matibabu ya dawa kwa vijana na watu wazima walio na ASD <ref>. Ukosefu wa utafiti wa matibabu kwa dawa:
*{{vcite journal |journal=Aust Fam Physician |year=2007 |volume=36 |issue=9 |pages=741–4 |title=Children and autism—part 1—recognition and pharmacological management |author=Angley M, Young R, Ellis D, Chan W, McKinnon R |pmid=17915375 |url=http://www.racgp.org.au/afp/200709/200709angley.pdf |format=PDF |accessdate=2010-10-18 |archivedate=2013-04-07 |archiveurl=https://web.archive.org/web/20130407205054/http://www.racgp.org.au/afp/200709/200709angley.pdf }}
*{{vcite journal |journal=Autism |year=2007 |volume=11 |issue=4 |pages=335–48 |title=Systematic review of the effectiveness of pharmacological treatments for adolescents and adults with autism spectrum disorder |author=Broadstock M, Doughty C, Eggleston M |doi=10.1177/1362361307078132 |pmid=17656398 }} </ REF> Mtu aliye na ASD anaweza kuitikia kwa namna isiyo ya kawaida matibabu, matibabu yanaweza kuwa na athari mbaya,<ref name="CCD"></ref> na hakuna dawa inayojulikana hupunguza dalili za kimsingi za usonji ambazo ni ulemavu wa kijamii na mawasiliano.<ref>{{vcite journal |journal=Novartis Found Symp |year=2003 |volume=251 |pages=235–44; discussion 245–9, 281–97 |title=Why have drug treatments been so disappointing? |title.= |author=Buitelaar JK |doi=10.1002/0470869380.ch14 |pmid=14521196 }}</ref> Majaribio katika panya yamerudisha nyuma au kupunguza baadhi ya dalili zinazohusishwa na usonji kwa kuondoa au kurekebisha kazi za jeni baada ya kuzaliwa,<ref name="Walsh"></ref> hii inapendekeza uwezekano wa kulenga matibabu katika mabadiliko mahsusi ya jeni nadra inayojulikana kusababisha usonji.<ref name="Betancur"></ref>