Molekuli : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: 200px|thumb|right|Molekuli ya sukari. Atomi za [[kaboni zaonyeshwa kwa rangi ya buluu, za oksijeni nyekundu na za hidrojeni nyeupe.]] '''Molekuli''' ni maunga...
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Glucose.PNG|200px|thumb|right|Molekuli ya sukari. Atomi za [[kaboni]] zaonyeshwa kwa rangi ya buluu, za [[oksijeni]] nyekundu na za [[hidrojeni]] nyeupe.]]
'''Molekuli''' ni maungano ya kudumu ya angalau [[atomi]] mbili au zaidi. Ni pia kitengo kidogo cha kila [[dutu]]. Kama molekuli inapasuliwa ni dutu tofauti zinazojitokeza.
 
Molekuli ni ndogo sana haionekani kwa macho.
 
==Muungo atomia==
Atomi ndani ya molekuli hushikwa kwa nguvu ya [[elektroni]] au [[muungo atomia]]. Maungano ya atomi katika molekuli hufuata maumbile ya atomi. Maumbile haya Kwa mfano atomi za [[hidrojeni]] huwa na nafasi moja ya kushikana na atomi nyingine, [[oksijeni]] huwa na nafasi mbili ya kushikana na atomi nyingine. [[Kaboni]] ina nafasi nne na [[naitrojeni]] ina nafasi tatu. Hapo ni sababu ya kwamba maji ni molekuli ya H<sup>2</sup>O yaani hidrojeni ina mkono mmoja na oksijeni ina mikono miwili hivyo atomi moja ya oksijeni ikishika atomi za hidrojeni (yenye mkono moja) mbili ni molekuli thabiti na imara hakuna mkono unaobaki.
 
==Formula==
Line 9 ⟶ 11:
 
==Molekuli na [[hali maada]]==
Katika [[gesi]] molekuli zina uhuru wa kuelea. Katika gimba [[mango]] kila molekuli ina mahali pake. Katika [[kiowevu]] molekuli zinakaa pamoja lakini ni rahisi kubadilishana nafasi.
 
With a [[molecular formula]], you can write down the numbers of all atoms in a molecule. For example, the molecular formula of sugar is
 
==Viungo vya Nje==