Mji mkuu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Mstari 1:
[[picha:Dodoma,_Tanzania..jpg|thumbnail|right|200px|Dodoma, mji mkuu wa Tanzania.]]
[[Picha:Nairobi night skyline at dusk .jpg|thumbnail|200px|[[Nairobi]] ni, mji mkuu wa Kenya.]]
[[Picha:Kashif rahman home.jpg|thumbnail|right|200px|[[Helsinki]], mji mkuu wa [[Ufini]].]]
[[Picha:Nairobi night skyline at dusk .jpg|thumbnail|200px|[[Nairobi]] ni mji mkuu wa Kenya]]
'''Mji mkuu''' kwa kawaida ni [[mji]] wenye [[makao makuu]] ya [[serikali]] ya nchi fulani. Katika nchi nyingi mji huo ni pia mji mkubwa na muhimu zaidi kushinda miji mingine nchini. Huo ni sehemu yenye [[maendeleo]] makubwa sana katika nchi yoyote: ina kila [[huduma]] muhimu na [[miundombinu]] iliyo bora. Mfano: nchini [[Tanzania]] mji mkubwa ni [[Dar es Salaam]], ingawa makao makuu ni [[Dodoma]].
 
Mstari 8:
Nchi kadhaa zimeteua mji fulani kuwa mji mkuu kwa shabaha ya kubadilisha mwendo wa nchi au kama jaribio la kusahihisha [[historia]] yake.
 
== [[Ukoloni|KoloniMakoloni]] zaya zamani kuanzisha mji mkuu mpya ==
Nchi mbalimbali zilizowahi kuwa koloni zimeamua kuanzisha mji mkuu mpya kwa sababu mji mkuu wa kikoloni uliteuliwa kutokana na mahitaji ya nchi tawala ya zamani si kutokana na mahitaji ya nchi huru yenyewe. Wakati wa ukoloni mara nyingi mji kwenye pwani penye bandari uliteuliwa kuwa mji mkuu. Sababu yake ni ya kwamba kwa ajili ya maafisa wa kikoloni mawasiliano na nyumbani kwao yalikuwa muhimi sana kushinda mawasiliano na sehemu zote za nchi ya koloni yenyewe. Wakati wa ukoloni usafiri ulikuwa kwa meli, hivyo kipaumbele cha mabandari. Katika fikra za kisiasa na za kiuchumi sababu muhimu ya kuwa na koloni ilikuwa nafasi ya nchi tawala kujipatia malighafi katika koloni na kuuza bidhaa zake - yote yalitegemea mabandari. Hasara ya chaguo lile ilikuwa ya kwamba mara nyingi mabandari ni kando kabisa katika nchi zao - watu wengi wako mbali na mji mkuu.
 
'''[[Brazil]]''': Hapo Wabrazil wamehamisha mji mkuu kutoka [[Rio de Janeiro]] uliyoko pwani na kandokandokando laya eneo la Brazil kwenda mji mpya wa [[Brasilia|Brasília]] kuanzia mwaka 1960. Brasilia ilijengwa mahali pasipo na mji katika miaka 1956 - 1960 [[BK]].
 
Kwa nia hiyohiyo '''[[Tanzania]]''' iliamua kuhamisha mji mkuu kutoka [[Dar es Salaam]] uliyoko pwani lamwa [[Bahari Hindi]] kwenda [[Dodoma]] iliyoko katikati ya Tanzania. Uhamisho huu umepangwa tangu 1967 na kutangazwa rasmi mwaka 1997; kuanzia mwaka 2016 serikali ya rais [[John Magufuli]] ilihamisha atimayehatimaye ofisi kuu za wizara zote kwenda Dodoma. Hata hivyo, kuna bado ofisi nyingi zilizobaki Dar es Salaam.
 
* Tazama chini: Nigeria, Côte d'Ivoire
Mstari 33:
'''[[Nigeria]]''' iliamua mwaka 1976 kuhamisha mji mkuu wa kitaifa kutoka [[Lagos]] kwenda mahali pa katikati ya nchi. "Eneo la Mji Mkuu wa Shirikisho" limeteuliwa. Mji mpya wa [[Abuja]] ndani ya eneo hili ukawa mji mkuu wa Nigeria mwaka 1991.
 
== Miji Mikuumikuu mbalimbali ==
'''[[Afrika Kusini]]''' ina miji mikuu mitatu kikatiba: [[Pretoria]] ndipo makao makuu ya serikali, [[Cape Town]] ndipo makao makuu ya bunge, [[Bloemfontein]] ndipo makao makuu ya ''Mahakama Kuu''.
[[File:Parliament Hill, Ottawa.jpg|thumb|Jengo la bunge, mji wa [[Ottawa]],ambao ndio mji mkuu wa [[Kanada]].]]