Muujiza : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 4:
Matukio hayo yanaweza kufikiriwa yamesababishwa ama na [[Mungu]] au [[miungu]], hata kupitia mtu wa [[dini]], ama na nguvu nyingine zinazohusiana na [[ushirikina]].
 
==Katika Ukristo==
[[Wanateolojia]] [[Wakristo]] wanasema Mungu kwa kawaida anaacha sheria za maumbile zifuate mkondo wake, lakini anabaki huru kuziingilia anavyotaka kwa mipango yake.<ref name="McLaughlin">{{cite web
| last = McLaughlin
Line 15 ⟶ 16:
| accessdate =2 February 2010 }}</ref>
 
[[Injili]] zinasimulia baadhi ya [[miujiza ya Yesu]]. Ilikuwa mingi sana; hata hivyo [[Injili ya Yohane]] (21:25) inashuhudia kwamba michache tu imeandikwa.<ref name="Harris John">[[Stephen L Harris|Harris, Stephen L.]], Understanding the Bible. Palo Alto: Mayfield. 1985. "John" p. 302-310</ref><ref name="Catholic Encyclopedia on Miracles"/><ref>''The emergence of Christian theology'' by Eric Francis Osborn 1993 ISBN 0-521-43078-X page 100</ref>
 
Kati ya miujiza hiyo, kuna [[mazinguo]] ya kufukuza [[pepo wachafu]], [[uponyaji]] wa [[maradhi]] mbalimbali ([[homa]], [[ukoma]], [[safura]], [[kupooza mkono]] au [[mwili]] mzima, [[kupinda kwa mgongo]], [[kutokwa damu]] mfululizo, [[upofu]], [[uziwi]], [[ububu]] na [[Ulemavu|vilema]] vingine), [[ufufuo]] wa wafu, na [[ushindi]] juu ya [[uasilia]] (kama kugeuza [[maji]] kuwa [[divai]], kutembea juu ya maji ya [[ziwa]], kutuliza [[dhoruba]] na kuzidisha [[mkate]] na [[kitoweo]] cha [[samaki]]).<ref>Graham H. Twelftree, Jesus the Miracle Worker: A Historical and Theological Study (InterVarsity Press, 1999) page 263.</ref><ref>H. Van der Loos, 1965 ''The Miracles of Jesus'', E.J. Brill Press, Netherlands.</ref>
 
Kwa [[mamlaka]] yake aliyoliachia [[Kanisa]], wafuasi wengi wa [[Yesu]] wamejulikana kama watendamiujiza, ingawa wao walimrudishia [[Mwenyezi Mungu]] sifa hiyo, wakijiona vyombo vyake tu.
 
[[Kanisa Katoliki]] kabla ya kumtangaza muumini mwadilifu sana aliyefariki [[dunia]] kuwa [[mwenye heri]] linadai uthibitisho wa muujiza mmoja, na kabla ya kumtangaza [[mtakatifu]] muujiza mwingine.
 
==Tanbihi==
Line 24 ⟶ 29:
[[Jamii:Dini]]
[[Jamii:Sayansi]]
[[Jamii:Ukristo]]