Sinodi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: ro:Sfântul Sinod
No edit summary
Mstari 1:
'''Sinodi''' ([[kigiriki]]: σύνοδος - ''sýnodos'') ni mkutano wa kanisa[[Kanisa]] la kikristo. Kikristo Sinodiambao huunganisha wawakilishi kutoka sehemu mbalimbali za kanisaKanisa au eneo maalumu ndani ya kanisaKanisa kama sinodi.
 
Maana ya neno lenyewe katika lugha asilia ya [[Kigiriki]] (σύνοδος = ''sýnodos'') ni kufuata "mkutanonjia ya pamoja".
 
Kiasili sinodi ilikuwa mkutano wa ma[[askofu]] wa eneo fulani. Wakati mwingine neno "[[mtaguso]]" hutumiwa kwa kutaja sinodi ya maaskofu wote kwa mfano maaskofu wote wa kanisa katoliki duniani.
 
Wakati mwingine neno "[[mtaguso]]" hutumiwa kwa kutaja sinodi ya maaskofu wote, kwa mfano [[mtaguso mkuu]] ni mkutano wa maaskofu wote wa [[Kanisa Katoliki]] duniani.
Mara nyingi mkutano mkuu wa dayosisi au wa jimbo la kanisa huitwa pia "sinodi".
 
Mara nyingi mkutano mkuu wa dayosisi au wa jimbo la kanisaKanisa huitwa pia "sinodi".
Katika makanisa ya kiprotestanti sinodi hujumlisha w[[achungaji]] pamoja na [[walei]].
 
Katika makanisamadhehebu ya kiprotestantiKiprotestanti sinodi hujumlisha w[[achungaji]] pamoja na [[walei]].
Makanisa ya mapokeo ya Kipresbiteri hutumia neno "sinodi" kwa ajili ya mikoa yao ikitawaliwa na sinodi yaani mkutano wa wajumbe kutoka shirika.
 
Makanisa ya mapokeo ya KipresbiteriWapresbiteri hutumia neno "sinodi" kwa ajili ya mikoa yao ikitawaliwa na sinodi yaani mkutano wa wajumbe kutoka shirika.
 
[[Category:Dini]]
[[Category:Ukristo]]
[[Category:Kanisa]]