Mwezi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
→‎Miezi ya sayari: kusasisha nambari
Mstari 11:
Mwezi hauna [[nuru]] ya kwake yenyewe bali unang'aa kutokana na nuru ya [[jua]] inayoakisiwa usoni mwake kama kwenye [[kioo]].
 
'''Sayari na sayari kibete zenye miezi''' katika [[mfumo wa jua]]:
* [[Dunia]]: mwezi 1
* [[Mirihi]]: miezi 2
* [[Mshtarii]]: miezi 6380
* [[Zohali]]: miezi 3183
* [[Uranus]]: miezi 27
* [[Neptun]]: miezi 1314
* [[PlutoOrkus]]: miezimwezi 31
* [[Pluto]]: miezi 5
* [[Haumea]]: miezi 2
* [[Kwaoar]]: mwezi 1
* [[Makemake]]: mwezi 1
* [[Gongong']]: mwezi 1
* [[Eris]]: mwezi 1
 
'''Sayari na sayari kibete zisizo na miezi''' katika mfumo wa jua:
* [[Utaridi]]
* [[Zuhura]] (Ng'andu)
* [[Ceres]]
* [[Sedna]]
 
[[Picha:Lunar libration with phase2.gif|thumb|right|200px|Awamu za mwezi katika kipindi cha mwezi wa kalenda]]