Bohemian Rhapsody : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created by translating the page "Bohemian Rhapsody"
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Bohemian Rhapsody''' ni wimbo wa bendi ya rock ya Kiingereza [[Queen]] . Ilitungwa na [[Freddie Mercury]] ikatolewa kwenye albamu yao ya 1975 ''[[A Night at the Opera]]'' .
 
 
==Muundo==
''Bohemian Rhapsody'' inaundwa kwa sehemu sita:<ref>{{Internetquelle|url= http://www.queensongs.info/the-book/songwriting-analyses/no-synth-era/a-night-at-the-opera/bohemian-rhapsody.html |titel= Bohemian Rhapsody |werk= Queen Songs |zugriff=2016-01-18 |sprache= en}}</ref>
:{|
|-
| 1. || Ufunguzi || (0:00–0:49) || – 14 %
|-
| 2. || Wimbo la masimulizi ||(0:49–2:37) || – 31 %
|-
| 3. || Solo ya gitaa ||(2:37–3:03) || – {{0}}7 %
|-
| 4. || Mwigo wa kubeza [[opera]] || (3:03–4:08) || – 18 %
|-
| 5. || [[Muziki wa rock]] kali || (4:08–4:55) || – 13 %
|-
| 6. || Kufunga kitulivu || (4:56–5:55) || – 17 %
|}
 
== Video ==
Kampuni ya EMI iliyotoa albamu ilikuwa na wasiwasi juu ya wimbo ikaona afadhali kutengeneza video ili kuongeza umaarufu wake. Wimbo pamoja na video zilifanyikiwa sana na kuwa kielelezo kwa kawaida ya baadaye ya kutangaza nyimbo na bendi kwa njia ya video.<ref>{{cite journal|last=Muikku|first=Jari|date=1990|title=On the role and tasks of a record producer|url=https://archive.org/details/sim_popular-music-and-society_spring-1990_14_1/page/25|journal=Popular Music and Society|volume=14|issue=1|pages=25–33|doi=10.1080/03007769008591381}}</ref>
 
 
== Mafanyikio kwenye chati ==
Mwanzoni kampuni ya rekodi ilikuwa na wasiwasi kama wimbo huo utapokewa kwenye vituo vya redio kwa sababu ya urefu wake (dakika 5 na sekunde 55) na muundo wake uliokuwa tata ukilinganishwa na nyimbo za siku zile,. Walifanya majaribio kwa kuitoa awali kwa kituo cha redio ya Capital Radio; katika wikendi moja ilisikika mara 14 na wasikilizaji walipenda sana. Baadaye ikawa #1 kwenye chati nyingi. <ref>"[http://www.soundonsound.com/sos/1995_articles/oct95/queen.html An Invitation To The Opera]." Sound On Sound (October 1995). Retrieved on 2008-11-01.</ref> Sasa inachezwa kwenye redio kwa urefu kamili.
 
== Marejeo ==