Tofauti kati ya marekesbisho "Shairi"

20 bytes added ,  miezi 10 iliyopita
d (Masahihisho aliyefanya Carren loy (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Idd ninga)
Tag: Rollback
Tags: Mobile edit Mobile web edit
*Mistari miwili (tathiniya/[[tathinia]]/uwili): shairi hili huwa na mishororo miwili katika kila ubeti. vina vyake vyaweza kuwa na mtiririko.
*Mistari mitatu ([[tathilitha]]): shairi hili huwa na mishororo mitatu katika kila ubeti. vina vyake huenda vikawa na urari.
*Mistari mine ([[tarbia]]): shairi la aina hii huwa na mishororo minne katika kila ubeti. mara nyingi shairi hili hugawanywa katika sehemu mbili, [[ukwapi na utao]]. Mshororo wa kwanza wa shairi hili huitwa kipokeo, wa pili huitwa mloto,wa tatu huitwa mleo, wa nne huitwa kibwagizo. kibwagizo huwa kinarudiwarudiwa katika kila ubeti.
*Mistari mitano ([[takhmisa]]): hili ni shairi lenye mishororo mitano katika kila ubeti
*Mistari zaidi ya mitano ([[sabilia]]), kwa mfano: [[tasdisa]] huwa na mishororo sita katika kila ubeti, [[tathmina]] huwa na mishororo minane katika kila ubeti, [[ukumi]] huna na mishororo kumi katika kila ubeti.
Anonymous user