Rakisi (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 5:
 
==Jina==
Rakisi ni jina lililotumiwa tangu zamani na mabaharia Waswahili waliojua njia yao baharini wakati wa usiku wakiangalia nyota<ref>ling. Knappert 1993</ref>. Jina hili waliwahi kupokea kutoka kwa Waarabu walioiita <big>الرقيس</big> ''alar-raqisraqiis'' linalomaanisha "mchezaji". Katika umbo la nyota watu wa kale walimwona mtu anayepiga goti moja au mtu anayechezacheza. [[Eratosthenes|Eratosthenes wa Aleksandria]] alikuwa wa kwanza aliyemtaja kwa jina la mshujaa [[Herakles]] wa [[mitholojia ya Kigiriki]]<ref>ling. Allen 1899: Star-Names and their Meanings</ref> lakini ilichukua muda mrefu hadi jina hili lilishinda majina mengine na hivyo aliitwa Hercules kwa [[Kilatini]].
 
Hercules ilikuwa moja ya makundinyota 48 zilizoorodheshwa na [[Klaudio Ptolemaio]] kwa jina la εν γόνασιν en gonasin yaani "mwenye kupiga goti". Ilipokelewa na [[Umoja wa Kimataifa wa Astronomia]] katika orodha ya makundinyota 88 za kisasa iliyotolewa mwaka 1930. <ref>[https://www.iau.org/public/themes/constellations/ The Constellations], tovuti ya International Astronomical Union , iliangaliwa Oktoba 2017</ref> Kifupi rasmi ni ‘Her’.<ref>[http://www.ianridpath.com/iaulist1.htm "The IAU list of the 88 constellations and their abbreviations" ya mwaka 1922], kwenye tovuti ya Ian Ridpath, iliangaliwa Mei 2017</ref>