Dubu Mdogo (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 10:
Dubu Mdogo ni kati ya makundinyota yaliyo tajwa tayari na [[Klaudio Ptolemaio]] katika karne ya 2 BK. Lipo pia katika orodha ya makundinyota 88 ya [[Umoja wa Kimataifa wa Astronomia]] <ref>[https://www.iau.org/public/themes/constellations/ The Constellations], tovuti ya International Astronomical Union , iliangaliwa Julai 2017</ref> kwa jina la Ursa Minor. <ref>Kwa Kiingereza cha Marekani jina la “Little Dipper” imekuwa kawaida; ‘dipper’ inamaanisha kijiko kikubwa kama upawa wa kuchotea supu </ref>
 
Jina Dubu Mdogo linatokana na [[ara.]] الدب الأصغر al dubu''ad-dubb al asghar-ʾaṣghar'' yaani “dubu mdogo zaidi” na jina hili lilitafsiriwa kutoka Kigiriki Μικρή 'Αρκτος mikre arktos iliyokuwa pia asili ya jina la Kilatini Ursa Minor. [[Wagiriki wa Kale]] walipokea kundinyota hii kutoka kwa mabaharia Wafinisia. [[Mitholojia ya Wagiriki]] ina hadithi ya [[Arkas]] mwana wa kando wa mungu [[Zeus]] aliyebadilishwa na babake kuwa dubu na kutumwa angani kama kundinyota.
 
==Nyota==