Marianne Koch : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d robot Adding: it:Marianne Koch
No edit summary
Mstari 18:
}}
 
'''Marianne Koch''' (Amezaliwaamezaliwa tar. [[19 Agosti]], [[1931]]) ni daktari wa tiba na mwigizaji filamu mstaafu wa [[Ujerumani]], aliyecheza filamu kati ya miaka ya [[1950]] na [[1960]], anafahamika zaidi kwa mwonekano wake katika [[Filamu za Western|filamu za western]] ya [[Italia]], maarufu kama [[Spaghetti Westerns|spaghetti westerns]], na filamu za kipelelezi za miaka ya [[1960]].
 
Marianne ameonakanaameonekana katika zaidi ya filamu 65 kati ya mwaka [[1950]] na [[1970]] zikiwemo na filamu ziliongozwa na [[Sergio Leone]], ambayo ni "A Fistful of Dollars" ya mwaka [[1964]] ambayo ndio picha inayoneka amekaa na [[Clint Eastwood]].
 
1970 alipokuwa na umri wa miaka 39 akaamua kuacha uigizaji filamu akarudi chuo kikuu na kumaliza masomo yake ya tiba. 1974 akapata cheo cha daktari na kuanzisha kliniki yake ya tiba ya ndani mjini [[München]]. Alistaafu 1997. Ana watoto wawili wa kiume.
Mstari 29:
{{Mbegu}}
 
{{DEFAULTSORT:Koch, Marianne}}
 
[[Category:Watu wa Ujerumani]]
[[Category:Waigizaji Filamu wa Ujerumani]]
[[Category:Waigizaji wa Filamu za Western]]
[[Category:Waliozaliwa 1931]]
[[Category:Watu naWalio MaishaHai]]
 
[[de:Marianne Koch]]