Mario Brega : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d robot Removing: fr:Mario Brega
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Mario Brega.jpg|thumb|right|180px|Mario Brega k.mkama mlinzi wa wafungwa "Wallace" katika filamu ya ''the Good, the Bad and the Ugly''.]]
'''Mario Brega''' (Alizaliwaaliishi tar. [[5 Machi]], [[1923]], [[Rome]] - [[23 Julai]], [[1994]]) alikuwa mwigizaji wa [[Italia|kitalianokiitaliano]]. Brega, kiumbo anaonekana kuwa na mwili mkubwa, kitu ambacho kinaashilia kuwa yeye ni mjambazi, kama ilivyokuwa katika filamu zake za awali za kutoka [[Spaghetti Westerns|western]].
 
Brega akisimama anavuka urefu wa futi sita, japokuwa vipimo vyake vimebaki kuwa havieleweki ni vingapi, ila tu, unaweza kuchukulia urefu wake kuwa unafanana na ule wa [[Clint Eastwood]] wa miaka ya 1960.
 
==Maisha ya Mwanzo==
Brega alizaliwa mjini [[Rome]] [[Italia]]. Mwanzoni alikuwa anafanya kazi machinjioni, kabla ya kujiingiza katika masuala ya uigizaji. Umbo lake kubwa lilimthibitishia kuwa yeye ana uwezo wa kucheza filamu sehemu za hatari.
Line 11 ⟶ 12:
 
Brega alifia mjini [[Rome]] [[Italia]].
 
==Ona Pia==
* [[Spaghetti Western|Orodha ya waigizaji na waongozaji wa spaghetti western]].
Line 17 ⟶ 19:
* {{imdb|0103828}}
 
{{DEFAULTSORT:Brega, Mario}}
 
[[Category:Mbegu]]
[[Category:Watu wa Italia]]
[[Category:Waigizaji Filamu wa Italia]]
[[Category:Waigizaji wa Filamu za Western]]
[[Category:Watu na Maisha]]
[[Category:Waliozaliwa 1923]]
 
 
[[Category:Waliofariki 1994]]