Hideki Shirakawa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
#WPWP#WPWPTZ
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
[[picha:Hideki_Shirakawa_20011212Hideki Shirakawa.jpg|thumbnail|right|200px|Hideki Shirakawa]]
'''Hideki Shirakawa''' (amezaliwa [[20 Agosti]] [[1936]]) ni mwanakemia kutoka nchi ya [[Japani]]. Hasa alichunguza sifa za [[polimeri]]. Mwaka wa [[2000]], pamoja na [[Alan Heeger]] na [[Alan MacDiarmid]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel ya Kemia]]'''.