Vita vya kwanza vya Italia na Ethiopia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Tag: Disambiguation links
 
No edit summary
Mstari 2:
[[Picha:Adua Menelik.jpg|thumb|right|300px|Negus Menelik II kwenye mapigano ya Adowa - [[mchoro]] katika [[gazeti]] la [[Kifaransa]] ''Le Petit Journal''.]]
[[Picha:1896.jpg|thumb|right|250px|Gazeti la Kifaransa "La Vie Illustree" linaloonyesha [[sherehe]] ya mwaka [[1904]] ya wanajeshi Waethiopia kwenye maandamano kukumbuka [[ushindi]] wa Adowa.]]
'''Vita vya kwanza vya Italia na Ethiopia''' vilitokea kati ya [[Italia]] na [[Ethiopia]] miaka [[1895]]-[[1896]]. Waethiopia walishinda na kuhakikisha [[uhuru]] wa nchi yao hivyo kufanya Ethiopia nchi ya pekee ya [[Afrika]] iliyofaulu kuzuia [[ukoloni]].
 
Mwaka [[1889]] mtemi wa [[Shewa]] [[Menelik II]] alijitangaza [[Negus]] wa Ethiopia baada ya kushinda mapigano kati ya watemi wa Ethiopia yaliyofuata [[kifo]] cha Negus aliyemtangulia [[Yohanne IV]]. Katika hilo Menelik alisaidiwa na Waitalia ambao walishika [[Eritrea]] tayari.
Mstari 46:
[[Jamii:Historia ya Italia]]
[[Jamii:Vita]]
[[Jamii:1895]]
[[Jamii:1896]]