Vita vya kwanza vya Italia na Ethiopia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 4:
'''Vita vya kwanza vya Italia na Ethiopia''' vilitokea kati ya [[Italia]] na [[Ethiopia]] miaka [[1895]]-[[1896]]. Waethiopia walishinda na kuhakikisha [[uhuru]] wa nchi yao hivyo kufanya Ethiopia nchi ya pekee ya [[Afrika]] iliyofaulu kuzuia [[ukoloni]]<ref>{{cite encyclopedia|title=5 Fascinating Battles of the African Colonial Era|url=https://www.britannica.com/list/5-fascinating-battles-of-the-african-colonial-era|access-date=14 June 2020|encyclopedia=Encyclopaedia Britannica}}</ref>.
 
Mwaka [[1889]] mtemi wa [[Shewa]] [[Menelik II]] alijitangaza [[Negus]] wa Ethiopia baada ya kushinda mapigano kati ya watemi wa Ethiopia yaliyofuata [[kifo]] cha Negus aliyemtangulia [[YohanneYohane IV]]. Katika hilo Menelik alisaidiwa na Waitalia ambao walishikawalikuwa wameshika [[Eritrea]] tayari.
 
Mnamo Mei 1889 Menelik alifanya [[mkataba wa Wuchale]] alimokubali [[utawala]] wa [[Italia]] juu ya kanda ya [[pwani]] pamoja na maeneo kadhaa ya [[nyanda za juu]] za [[Tigray]] yakiwemo [[mazingira]] ya [[Asmara]] ya leo.