Benwadi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
+ vyanzo
No edit summary
Mstari 1:
[[image:Hildesheim St. Godehard Statue Godehard.JPG|thumb|250px|[[Sanamu]] ya Mt. Benwadi huko [[Hildesheim]].]]
[[Picha:St Michaels Church Hildesheim.jpg|300px|thumb|Kanisa la Mt Mikaeli ilijengalilijengwa na Benwadi.]]
[[Picha:Bernwardstür.jpg|thumb|[[Mlango|Milango]] ya Kanisa Kuu yala Hildesheim iliagizwa na Benadi mnamo mwaka 1015.]]
'''Benwadi wa Hildesheim''' ([[jina]] asili: '''Bernward'''; [[960]] – [[20 Novemba]] [[1022]]) alikuwa [[askofu]] wa [[Hildesheim]] nchini [[Ujerumani]] kuanzia [[tarehe]] [[15 Januari]] [[993]] hadi [[kifo]] chake<ref>www.santiebeati.it/dettaglio/51950</ref> <ref name=birkhaeuser>[http://www.newadvent.org/cathen/02513a.htm Birkhaeuser, Jodoc Adolphe. "St. Bernward." The Catholic Encyclopedia. Vol. 2. New York: Robert Appleton Company, 1907. 4 Jan. 2013]</ref>.
 
Benwadi aliagiza [[ujenzi]] wa [[kanisa]] kubwa la Mt. Mikaeli kwa [[mtindo wa Kiroma]] na pia kutengenezwa kwa milango ya [[shaba]] kwa [[kanisa kuu]] la Hildesheim; yote mawili yametambuliwa kamana [[UrithiUNESCO]] wakama Dunia|urithi[[Urithi wa Dunia]]<ref>[https://whc.unesco.org/en/list/187 St. Mary's Cathedral and St. Michael's Church at Hildesheim, UNESCO]</ref>.
 
[[Papa Selestini III]] alimtangaza [[mtakatifu]] tarehe [[19 Desemba]] [[1192]].