Paula wa Roma : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Add 1 book for verifiability (20211202sim)) #IABot (v2.0.8.2) (GreenC bot
 
Mstari 6:
Alipokuwa na [[umri]] wa miaka 32 alifiwa [[Mume|mumewe]] akaendelea kutunza [[familia]] yake, lakini alizidi kuvutiwa na mambo ya [[dini]] na kuishi kama [[Watawa|kitawa]] sawa na [[Marsela wa Roma]] na wanawake wengine kadhaa.
 
[[Mwaka]] [[382]] alikutana na [[Jeromu]] halafu akamfuata Bethlehemu katika [[monasteri]] [[zake]] (moja kwa [[wanaume]] na nyingine kwa wanawake<ref>David Farmer, ed., Oxford Dictionary of Saints, ISBN|0-19-860629-X, p. 416.</ref><ref>{{Cite journal|last=Yarbrough|first=Anne|date=1976|title=Christianization in the Fourth Century: The Example of Roman Women|url=https://archive.org/details/sim_church-history_1976-06_45_2/page/149|jstor=3163714|journal=Church History|volume=45|issue=2|pages=149–165|doi=10.2307/3163714}}</ref> akamsaidia kutafsiri [[Biblia]] katika [[lugha]] ya [[Kilatini]]<ref>Ellen Battelle Dietrick in [[The Woman's Bible]], Volume II, page 137.</ref>.
Tangu kale anaheshimiwa na [[Wakatoliki]] na [[Waorthodoksi]] kama [[mtakatifu]].