Kilimia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 22:
Kuonekana kwao kulikuwa alama ya kalenda katika tamaduni nyingi kama kati ya [[Wakelti]], [[Wagermanik]], [[Waazteki]] na wengine.
 
[[Wagiriki wa Kale]] walikiita "Pleiadi" na kusimulia hadithi ya mabinti saba wazuri waliopelekwa angani na mungu [[Zeus]] ili kuwalinda dhidi ya tamaa za mvindajimwindaji Orion (Jabari). Miaka 2500 iliyopita ilionekana Ugiriki jioni wakati wa Mei hivyo ilikuwa ishara ya kuanza mavuno. Kuzama wakati ule mwezi wa Novemba kulikuwa ishara ya kulima mashamba kabla ya baridi.
 
==Marejeo==