Majadiliano:Rosa Mistika : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Makala haifai jinsi ilivyo. Haina habari za maudhui ya kitabu bali tu maoni ya mtungaji kuhusu sababu za kupigwa marufuku kwake zamani. Haielezi kwamba baadaye...'
 
Reply
 
Mstari 1:
Makala haifai jinsi ilivyo. Haina habari za maudhui ya kitabu bali tu maoni ya mtungaji kuhusu sababu za kupigwa marufuku kwake zamani. Haielezi kwamba baadaye ilikuwa kitabu kilchotumiwa shuleni Tanzania na Kenya. Haina vyanzo vyovyote. Isahihishwe haraka au heri kufutwa. '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 16:29, 23 Agosti 2020 (UTC)
 
:Naona imesawazishwa! Safi! Halafu siku hizi kumbe kuna "reply" na jina linaandika yenyewe? Loh! Tumeendelea kwelikweli... [[User:Muddyb|<font color="blue"><sub>'''Muddyb Mwanaharakati'''</sub></font>]]</span> <font face="Comic sans">[[User talk:Muddyb Blast Producer|<font color="black"><sup>'''Longa'''</sup></font>]] 08:15, 8 Desemba 2021 (UTC)
Return to "Rosa Mistika" page.