Tambarare ya Uhindi Kaskazini : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8.4
 
Mstari 9:
Tambarare hiyo inapokea maji yake kutoka milima ya Himalaya hasa; mito hiyo imetelemka pamoja na [[matope]] yaliyojenga [[tabaka]] nene la [[ardhi]] yenye [[rutuba]]. Hivyo ni eneo linalofaa kwa [[kilimo]] hasa cha [[mpunga]] na [[ngano]] kinacholisha [[idadi]] kubwa ya watu.
 
Katika [[historia]] ya [[binadamu]] ilikuwa kati ya maeneo ya kwanza ambako [[milki]] na [[utamaduni]] wa [[miji]] vilianzishwa vikiwezesha kuwepo kwa [[wataalamu]] walioweka [[msingi|misingi]] ya [[sanaa]] na [[elimu]] ya juu.<ref name="CIA World Factbook - India">{{cite web|url = https://www.cia.gov/library/publications/the-world-factbook/geos/in.html|title = India|publisher = CIA – The World Factbook|accessdate = 14 December 2007|url-status = live|archiveurl = https://web.archive.org/web/20080611033144/https://www.cia.gov/library/publications/the-world-factbook/geos/in.html|archivedate = 11 June 2008| = https://web.archive.org/web/20080611033144/https://www.cia.gov/library/publications/the-world-factbook/geos/in.html}}</ref>
 
==Marejeo==