Kunguru : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 41:
== Kunguru na binadamu ==
 
Baadhi ya kunguru huonwa kuwa ni waharibifu na tunajuainajulikana kwamba kunguru mkubwa kaskazi (''[[w:Common Raven|Corvus corax]]''), kunguru mkubwa wa Australia (''[[w:Australian Raven|Corvus coronoides]]'') na kunguru mlamizoga (''[[w:Carrion Crow|Corvus corone]]'') wanaweza kuua wanakondoo dhaifu. Lakini mara nyingi hula mizoga iliyouawa karibuni kwa namna nyingine, ugonjwa k.m. Wengine wanaweza kuiga sauti ya binadamu, lakini hawawezi kuongea kama kasuku. Kunguru waliofundishwa kuongea, huonwa kama sehemu muhimu ya [[Asia ya Mashariki]], kwa sababu kunguru huonwa kama alama ya bahati. Baadhi ya watu wanafuga kunguru kama wanyama wa nyumbani. Japo binadamu hawawezi kuwatambua kunguru, kunguru wanaweza kuwatambua watu na kuelewa kwamba hawa ni watu wabaya au la.
 
Kwa tamaduni nyingi za kienyeji za kaskazi ya mbali sana kunguru, spishi kubwa hasa, wamekuchwa kama viumbe vya kirobo au miungu. Katika [[Afrika]] [[Waxhosa]] wa [[Afrika Kusini]] waliwachukulia kunguru kuwa ni ndege wa Mungu. Hadithi ya kixhosa kuhusu shujaa aitwaye Gxam inasimulia kwamba kunguru walirudishia shujaa aliyefanywa upofu uwezo wake wa kuona. Hadithi nyingine ya Wasara wa [[Chadi]] na [[Sudani]] inasimulia kwamba Mungu mkuu, Wantu Su, alimpa mpwa wake wa kiume Wantu ngoma iliyokuwa ndani yake na mifano ya kila kitu kilichokuwamo mbinguni. Wantu alitarajiwa kuwapatia binadamu vitu hivi, lakini alikuwa akishuka kamba iliyounga mbingu na dunia, kunguru alipiga ngoma. Ngoma akaanguka duniani, akavunjika na akatawanya wanyama, [[samaki]] na [[mmea|mimea]] duniani kote.