Baba Tabita
Joined 30 Aprili 2006
no edit summary
d (User:Oliver Stegen umesogezwa hapa User:Baba Tabita: Automatically moved page while renaming the user "Oliver Stegen" to "Baba Tabita") |
No edit summary |
||
{{user Mkabidhi}}
{{boxboxbottom}}
Naitwa Oliver Stegen, nimetoka [[Ujerumani]] lakini nimekaa Afrika Mashariki tangu mwaka wa 1996. Nafanya kazi kama mshauri wa [[isimu|kiisimu]], na lengo langu ni kukuza matumizi ya [[Orodha ya makabila ya Tanzania|lugha za Tanzania]]. Ndiyo sababu kuu ya kujitahidi kwangu upande wa ujenzi wa Wikipedia ya [[Kiswahili]].▼
Ingawa jina langu rasmi ni Oliver Stegen, hapa Afrika Mashariki mimi huitwa '''Baba Tabita''' kwa ajili ya mtoto wa kwanza, binti anayeitwa Tabita.
▲
Hadi Desemba 31, 2007, nimetoa michango zaidi ya elfu kumi na tano (15,000).
|