Angatando : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
viungo, >> angatropo
Mstari 1:
[[Picha:Angahewa tabaka.png|300px|thumb|Tabakastrato katika angahewa]]
'''Angastrato''' (pia tabaka'''stratotabakastrato''', kwa [[Kiingereza]]: ''stratosphere'') ni [[tabaka]] mojawapo la [[angahewa]] ya [[Dunia]]<ref>{{MerriamWebsterDictionary|Stratosphere}}</ref>. Inaanza takriban [[kilomita]] 8 juu ya uso wa ardhi kwenye eneo la [[Ncha za dunia|ncha za Dunia]] lakini juu ya [[ikweta]] inaanza kwa kimo cha kilomita 18; inaendelea hadi kimo cha kilomita 50 juu ya uso wa ardhi<ref name="ucarOverview">{{cite web|title=The Stratosphere - overview|url=https://scied.ucar.edu/shortcontent/stratosphere-overview|website=scied.ucar.edu|publisher=University Corporation for Atmospheric Research|access-date=25 July 2018|language=en}}</ref>.
 
Katika angastrato, kiunyume na angatropo, [[halijoto]] inapanda juu pamoja na [[kimo]]. Hii inasababishwa na [[tabaka la ozoni]] iliyoko ndani yake. Ozoni hufyonza [[urujuanimno|mnururisho wa urujuanimno]] kutoka [[nuru]] ya [[Jua]] na kuibadilisha kuwa [[joto]]<ref name="ucarOverview2">{{cite web|title=The Stratosphere - overview|url=https://scied.ucar.edu/shortcontent/stratosphere-overview|website=scied.ucar.edu|publisher=University Corporation for Atmospheric Research|access-date=25 July 2018|language=en}}</ref>.
 
Hii ni tofauti na [[tabakatropo|angatropo]] iliyoko chini yake. Huko halijoto inapungua kadiri ya kuongezeka kwa kimo. Pia katika [[tabakameso|angameso]] iliyoko juu ya tabakastrato halijoto inapungua kadiri ya kufikia juu zaidi.
 
Hakuna [[upepo]] wala [[mawingu]] katika angastrato, hivyo [[eropleni]] kubwa husafiri hukopale inapoanza kwenye kimo cha km 12 kwa [[safari]] za mbali ambako [[vurugu]] kutokana na upepo wa tabakatropoangatropo zimeshapungua <ref>{{cite web|url=http://hypertextbook.com/facts/2003/DanielCheng.shtml|title=Altitude of a Commercial Jet|publisher=Hypertextbook.com|access-date=2011-11-08|url-status=live|archive-url=https://web.archive.org/web/20111031180259/http://hypertextbook.com/facts/2003/DanielCheng.shtml|archive-date=2011-10-31}}</ref>.
 
== Marejeo ==