Angatando : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
viungo, >> angatropo
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Angahewa tabaka.png|300px|thumb|Tabakastrato katika angahewa]]
'''Angastrato''' (pia '''tabakastrato''', kwa [[Kiingereza]]: ''stratosphere'') ni [[tabaka]] mojawapo la [[angahewa]] ya [[Dunia]]<ref>{{MerriamWebsterDictionary|[https://www.merriam-webster.com/dictionary/stratosphere<nowiki> Stratosphere}}], Merriam Webster dictionary</nowiki></ref>. Inaanza takriban [[kilomita]] 8 juu ya uso wa ardhi kwenye eneo la [[Ncha za dunia|ncha za Dunia]] lakini juu ya [[ikweta]] inaanza kwa kimo cha kilomita 18; inaendelea hadi kimo cha kilomita 50 juu ya uso wa ardhi<ref name="ucarOverview">{{cite web|title=The Stratosphere - overview|url=https://scied.ucar.edu/shortcontent/stratosphere-overview|website=scied.ucar.edu|publisher=University Corporation for Atmospheric Research|access-date=25 July 2018|language=en}}</ref>.
 
Katika angastrato, kiunyume na angatropo, [[halijoto]] inapanda juu pamoja na [[kimo]]. Hii inasababishwa na [[tabaka la ozoni]] iliyoko ndani yake. Ozoni hufyonza [[urujuanimno|mnururisho wa urujuanimno]] kutoka [[nuru]] ya [[Jua]] na kuibadilisha kuwa [[joto]]<ref name="ucarOverview2">{{cite web|title=The Stratosphere - overview|url=https://scied.ucar.edu/shortcontent/stratosphere-overview|website=scied.ucar.edu|publisher=University Corporation for Atmospheric Research|access-date=25 July 2018|language=en}}</ref>.