Kani nje : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Kani nje''' ''(centrifugal force)'' ni kani inayotokea katika mfumo wa mzunguko na kuelekea nje. Inasababishwa na inesha ya masi ya kitu kilichopo katika mwendo wa mzunguko. Katika mzunguko mfululizo ni sawa na kani kitovu. Mfano sayari inayozunguka Jua huwa na obiti thabiti kama kani nje ya mwendo wake ni sawa na kani ya graviti inayoivuta kuelekea kwenye Jua. Satelaiti inayopelekwa kwenye obiti ya Dunia inahitaji k...'
 
No edit summary
Mstari 4:
 
 
[[:Jamii:Fizikia|Jamii:Fizikia]]