Waadventista Wasabato : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Jyväskylän adventtikirkko.JPG|thumb|250px|Kanisa la Waadventisti huko [[Jyväskylä]], [[Finland]].]]
'''Waadventista WasabatoWa sabato''' ni [[Wakristo]] [[Waadventisti]] wa [[madhehebu]] yanayosisitiza [[ujio wa pili]] wa [[Yesu]] yakisema uko jirani kutokea na kwamba utawahi wafuasi wake wakishika [[Sabato]], si [[Jumapili]].
 
Kati ya makundi yaliyoanzishwa [[Marekani]] baada ya utabiri wa [[William Miller]] kwamba ujio huo eti, utatokea tarehe [[22 Oktoba]] [[1844]], lililoenea zaidi ni lile la Waadventista Wasabato (mwanzo rasmi mwaka [[1863]]) ambalo kwa sasa lina waumini zaidi ya 17 milioni duniani kote.