Kobelo Chapombe : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Masahihisho aliyefanya 156.157.222.202 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na 41.75.210.246
Tags: Rollback Reverted
Kurudisha umbo halisi la Riccardo!
Tag: Manual revert
Mstari 28:
Mwaka wa 2014, alijiunga na kampuni ya Macho Media iliyokuwa chini ya Musa Yusuph Mahenge (Kitale). Akiwa hapa, alipata kushiriki katika filamu ya Shobo Dundo, Nikabu, Kimbiji, Mkubwa Bure, COSOTA, Kigugumizi, Kibena, Stanbakora na Akili.
 
2017 alishiriki kwenye tamthilia ya [[Maneno ya Kuambiwa]] iliyodumu miaka mitatu kupitia kituo cha runinga cha kulipia cha @tvetanzania TVE. 2020 ameshiriki kaktika tamthilia ya "Binadamu Wabaya" iliyorushwa hewani kupitia @tvetanzaniaTVE na idhaa ya YouTube maarufu kama #IPOTV.
 
==Marejeo==