Salamu Maria : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8.5
 
Mstari 8:
* Εὐλογημένη σὺ ἐν γυναιξὶν καὶ εὐλογημένος ὁ καρπὸς τῆς κοιλίας σου / ''eulogēmenē su en gynaixin kai eulogēmenos o karpos tēs koilias sou'' / ''Umebarikiwa wewe kati ya wanawake na umebarikiwa mzao wa tumbo lako'' (maneno ya [[Elizabeti (Injili)|Elizabeti]])
 
Katikati ya [[karne ya 13]] sala ilikuwa inaundwa na maneno hayo tu pamoja na kuingiza [[jina]] la [[Maria]], inavyoonekana katika [[ufafanuzi]] wa [[Thoma wa Akwino]].<ref>[{{Cite web |url=http://www.ewtn.com/library/MARY/STTOMHMY.htm |title="Saint Thomas Aquinas on the Hail Mary", ''Catholic Dossier'', May-June 1996, Ignatius Press, Snohomish, Washington ] |accessdate=2015-11-07 |archivedate=2015-09-24 |archiveurl=https://web.archive.org/web/20150924042930/http://www.ewtn.com/library/MARY/STTOMHMY.htm }}</ref>
 
Mwishoni mwa [[karne ya 15]] yaliongezwa maneno ya kumuomba Maria sala zake.<ref>British Library - Rare Books Department, shelfmark: IA 27542</ref>