Tume ya Uchaguzi ya Kenya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q5354981 (translate me)
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8.5
Mstari 1:
'''Tume ya Uchaguzi ya Kenya''' sasa inarejerea tume ambayo ilibatiliwa na bunge ya kumi mwaka wa 2008 na ilipokelewa na tume ya 'Interim Independent Electoral Commission of Kenya'. [[Samuel Kivuitu]] ambaye alikuwa mwenyekiti wa tume hiyo ilipobatiliwa, alienda kortini Novemba 2008 kupinga uamuzi huo.<ref>[0] ^ [http://www.nation.co.ke/News/-/1056/489846/-/tllaki/-/ "Court halts bid to disband ECK"] Daily Nation, Novemba, 11, 2008</ref> Walidai kuwa uamuzi huo haukuambatana na katiba kwani tume ilifaa kuwekwa ili kuchunguza makosa waliodaiwa kuyafanya katika uchaguzi mkuu wa 2007. Kesi hiyo itaendelea 3 Februari 2010 katika korti ya katiba.<ref>[1] ^ [http://www.standardmedia.co.ke/InsidePage.php?id=1144028527 "ECK commissioners’ suit to be heard in February"] {{Wayback|url=http://www.standardmedia.co.ke/InsidePage.php?id=1144028527 |date=20110716055134 }} The Standard, 17 Novemba 2009</ref>
 
==Tazama Pia==