24 (mfululizo wa TV) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8
Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.8.5
Mstari 22:
'''''24''''' ni kipindi kilichoshinda Tuzo ya [[Emmy]] na [[Golden Globe]] kikiwa kama kipindi bora cha mfululizo wa televisheni cha [[Marekani|Kimarekani]]. Kipindi hurushwa na [[televisheni]] ya [[Fox Broadcasting Company|Fox Network]] ya nchini Marekani na kuonyeshwa pia dunia nzima. Kipindi kilianza kuja kwenye TV mnamo tar. [[6 Novemba]] [[2001]], ikianza na vipengele kumi na tatu tu. Misimu yote sita ya mwanzo ilikuwa ikifanya kazi katika kitengo chao kuzuia ugaida cha [[Los Angeles]], [[Counter Terrorist Unit]] (CTU).
 
''24'' inaonyesha muda halisi, kila msimu unaonyesha kipindi cha msaa 24 ya maisha ya [[Jack Bauer]], ambaye anafanya kazi za kiserikali dhidi ya vitisho vya kigaidi vinavyotokea nchini mwao. Bauer mara kadhaa huwa mapambanoni kwa ajili ya Kitengo cha Kuzuia Ugaidi ambao hufanya kazi ya kujaribu kuzuia ugadi katika taifa. Kipindi pia huonyesha matendo ya makachero wengine. Misimu sita ya mwanzo yote ilikuwa ikifanyika mjini [[Los Angeles]] na sehemu za karibuni&nbsp; — ambazo zote ni za kizushi&nbsp; — mjini California, ingawa kuna baadhi ya sehemu zingine zilikuwa zikitumika vilevile. Msimui wa saba pekee ndiyo ulifanyanyika mjini [[Washington, D.C.]].<ref>{{cite web|url=http://au.tv.ign.com/articles/821/821061p1.html|title=IGN: 24: The Dead Rise|publisher=au.tv.ign.com|accessdate=2008-04-23|last=|first=|archivedate=2008-08-23|archiveurl=https://web.archive.org/web/20080823101243/http://au.tv.ign.com/articles/821/821061p1.html}}</ref> Msimu wa nane utakuwa [[New York City]], na CTU inarudishwa tena, lakini itakuwa CTU New York.<ref name="24 goes to New York">{{cite web | title= 24 goes to New York | url= http://www.slashfilm.com/2009/04/14/24-goes-to-new-york-city/ | author= EW | date= 2009-04-14 | accessdate= 2009-04-20 | archiveurl= https://web.archive.org/web/20090420015113/http://www.slashfilm.com/2009/04/14/24-goes-to-new-york-city/ | archivedate= 2009-04-20 }}</ref>
 
== Washiriki ==